Leo Aprili 10 ni siku ya kuzaliwa kwa Journalist/Photojournalist na Blogger Cathbert Angelo Kajuna mmiliki wa Kajunason Blog (www.kajunason.com) na Mwandishi/Mpigapicha wa MMG.
Tuesday, 10 April 2018
Thursday, 5 April 2018
WANAMABADILIKO WASAIDIA KUPUNGUZA UKATILI WA KIJINSIA WILAYANI TARIME
"Shemeji
zangu walikuwa sita walinipiga sana kwa kweli kwa sababu ya kutaka
kumiliki Mali za Mume wangu ambaye ni Marehemu" , ni mmoja ya wanawake
wa Tarime akisimlia kwa masikitiko kutokana na ukatili alioupata baada
ya kufiwa na mumewe, ambapo ndugu wa mume alilazimisha kumrithi yeye na
mali za mumewe. Mila kama hizi zinazomkandamiza mwanamke zinapaswa
kusitishwa
Wanahabari Watakiwa Kufanya Utafiti wa Habari Zao
Mkurugenzi wa Idara ya Habari - MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali,
Dkt. Hassan Abbasi (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na mmoja wa
Waandishi wa Habari aliyefanya vizuri katika mafunzo hayo, Adelina Bosco
wakati wa kufunga mafunzo ya Waandishi wa Habari yaliyotolewa na Wakfu
wa Tasnia ya Habari Tanzania (TMF) juu ya usalama barabarani pamoja na
masuala ya maendeleo.Ufungaji huo umefanyika leo jijini Dar es Salaam.
Wednesday, 4 April 2018
FRUITS AND VEGETABLES ARE KEY ANGLES TO FOOD SAFETY
Food
safety is one of the most important angle of human survival, Scientific
research over the last decades has shown that a diet rich in fruits and
vegetables is protective against many cancers and lowers the occurrence
of coronary heart disease. This has contributed to substantial increase
in consumption of fresh fruits and vegetables.
Monday, 19 March 2018
FASTJET YAWEZESHA MADAKTARI KUSAFIRI KUTOA HUDUMA YA AFYA YA KINYWA NA MENO BURE KWA WANANCHI WILAYANI TARIME

Baadhi
ya Madaktari watoa huduma ya meno na kimywa pamoja na watumishi wa
Fastjet wakiwa wamewasili jijini Mwanza wakitokea Dar es salaam.
Tuesday, 13 March 2018
Monday, 5 March 2018
Thursday, 1 March 2018
PRIVATE SECTOR ASSOCIATIONS AND CIVIL SOCIETY ORGANISATIONS CEO`S MEET TO DISCUSS SUSTAINABLE DEVELOPMENT GOALS (SGD'S) IN DAR ES SALAAM
|
Tuesday, 27 February 2018
MAENEO YA KITALII YANAYOPATIKANA KUSINI MWA TANZANIA
Na Jumia Travel Tanzania
Miongoni mwa maeneo ya kitalii ambayo hayapewi kipaumbele au kutokuwa maarufu ni pamoja na Kusini mwa Tanzania. Tofauti na vivutio vya kitalii vya kanda ya Kaskazini kuwa maarufu kama vile Mlima Kilimanjaro, Hifadhi za Serengeti na Ngorongoro, kuna uwezekano mkubwa kwamba Kusini mwa Tanzania kuna hazina kubwa ya vivutio kwa watalii ambavyo havitangazwi au kuvumbuliwa na wengi.
Miongoni mwa sababu ambazo zimekuwa zikikwamisha shughuli za kitalii kwa ukanda wa Kusini ni pamoja na miundominu hafifu kama vile barabara, viwanja vya ndege ambavyo hupelekea maeneo hayo kufikika kwa ugumu pamoja na upungufu wa malazi kama vile hoteli za kisasa na zinazokidhi vigezo.
Thursday, 22 February 2018
"Dunia inawaangusha watoto wachanga"- UNICEF
Photo Credit UNICEF Website
Duniani kote, vifo vya watoto wachanga bado viko juu sana kiasi cha
kuwa tishio, hasa miongoni mwa nchi maskini zaidi ulimwenguni, UNICEF
imesema katika ripoti yake mpya kuhusu vifo vya watoto iliyozinduliwa
leo mjini New York. Ripoti hiyo imebainisha kuwa watoto wanaozaliwa
katika nchi za Japani, Iceland na Singapore wana nafasi kubwa zaidi ya
kuishi, wakati wale wanaozaliwa katika nchi za Pakistani, Jamhuri ya
Afrika ya Kati na Afghanistani wanakabiliana na hatma mbaya kabisa ya
maisha yao.
Tuesday, 20 February 2018
DKT. KIGWANGALLA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA BODI YA UTALII (TTB)
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza na uongozi wa bodi
hiyo baada ya kufanya ziara ya kushtukiza mapema leo tarehe 20 Februari, 2018.
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
...........................................................................
Waziri
wa Maliasili na Utaliii, Dkt. Hamisi Kigwangalla leo Februari 20, 2018,
amefanya ziara ya kushtukiza katika ofisi za Makao makuu ya Bodi ya Utalii
Tanzania (TTB) Jijini Dar es Salaam na kuitaka kufanya kazi kwa kasi na ubunifu
zaidi.
Friday, 16 February 2018
Monday, 5 February 2018
Saturday, 3 February 2018
UKIJITOLEA KATIKA MAMBO UNABARIKIWA
Napenda sana huyu rafiki yangu siku moja afike pale anapo pataka hakika pamoja ya kwamba ni Mlemavu lakini anakipaji cha kupiga picha,kufanya Video Editing na mengine mengi. Ili kufahamu zaidi wasiliana nami kwa namba 0621002226
Subscribe to:
Posts (Atom)





